Kija Elias Kisena ni mwandishi wa habari nchini Tanzania. Alizaliwa Mei 18, 1975 katika kijiji cha Nyanguge wilayani Magu mkoani Mwanza. Kwa sasa ameweka makazi yake mkoani Kilimanjaro huku akiendelea kufanya kazi zake za uandishi wa habari.
Amewahi kuwa ripoti wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) katika kipindi cha miaka 2010-2012. Katika medani ya uandishi alianza mwaka 2006 hadi sasa. Amekuwa mahiri zaidi katika uandishi wa habari za mazingira licha kwamba amekuwa akiandika na medani nyingine katika jamii.
STORY & PHOTO BY: Jabir Johnson
EMAIL: jabirjohnson2020@gmail.com
0 Comments:
Post a Comment