Ligi ya Mabingwa mikoa (RCL) ni miongoni mwa mashindano ya soka yanayosimamiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Kutokana na janga la dunia la virusi vya Covid-19 mashindano mbalimbali yanayosimamiwa na TFF yamesimama kwa agizo kutoka serikalini ili kuepusha maambukizi zaidi ya virusi hivyo.
Hata hivyo kwa mechi chache zilizochezwa tunakuleteza timu moja moja katika Kundi B ambalo lilipangiwa kuchezwa katika Uwanja wa Ushirika, mjini Moshi, Kilimanjaro.
Timu zilizokuwepo kwenye kundi hilo ni Cable SC (Arusha), Muheza United (Tanga), Mbuyuni Market (Kilimanjaro), Nyamongo FC (Mara), Mweta FC (Mwanza), Huduma (Dar es Salaam) na Babati Shooting Star (Manyara).
Mashindano hayo yalianza Machi 14, 2020 lakini yalisimamishwa Machi 17, 2020 ikiwa ni mitanange sita tu iliyochezwa kutokana na kitisho hicho cha Covid-19.
TFF ilitoa taarifa yake kuwa mashindano yake yatasiamama kwa siku 30 kupisha wasiwasi uliopo na kwamba baada ya siku hizo kuna uwezekano mkubwa wa timu kutocheza na mashabiki.
Ifuatayo ni timu ya Nyamongo SC katika PICHA.
Nyamongo lineup
Hassan Robert (c), Bernado Mazigo, Elias Yohana, Edson Mturi, Patrick Petro, Fredy Sululu, Pynethal Mguji, Fredy Mwita, Shaban Misabilo, Benard Maranja, Riziki Chaka.
Wa Akiba; Yassin Ramadhan, Jembe Mkamba, Rajabu Lugembe, Juma Kayanda, Frank Samwel, Yohana Shija.
Coach: John Mhina
Assistant Coach: Mohamed Bismas

STORY & PHOTO BY: Jabir Johnson
EMAIL: jabirjohnson2020@gmail.com
DATE: Machi 19, 2020
0 Comments:
Post a Comment