Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema idadi ya walioambukizwa virusi vya Covid-19 wamefikia watano kutoka visa vitatu hapo jana.
Hayo yaanajiri wakati ambao Shirika la Afya Dunia (WHO) likionya bara la Afrika kujiandaa kwa hali mbaya zaidi ya virusi hivyo.
Taarifa kutoka wizara ya afya inasema ku wanaoishi jijini Dar es Salaam.
Mgonjwa wa kwanza alisafiri katika mataifa ya Uswisi, Denmark na Ufaransa kati ya Machi 5 na 13 na kurejea nchini Machi 14, 2020.
Mwanaume wa pili alisafiri nchini Afrika Kusini kati ya Machi 14 na 16 Machi na kurudi nchini Tanzani Machi 17, 2020.
Kwa mujibu wa Wizara ya Afya wanaume hao wote wawili wametengwa.

0 Comments:
Post a Comment