Watanzania watisha Tigo Kili Half Marathon 2020

Mshindi wa kilometa 21 Joseph Panga akisali baada ya kumaliza mbio hizo.

Wanaume
Tigo Kili Half Marathon 2020

1. Joseph Panga (Tanzania) 1:03:59
2. Josephat Joshua (Tanzania) 1:04:28
3. Vincent Kimutai (Kenya) 1:04:32
4. Wlison Kibogo (Kenya) 1:04:36
5. Joshua Elisante (Tanzania)         1:04:44
Mshindi wa kilometa 21 kwa wanawake Magdalena Shauri akimshukuru Mungu baada ya kushika nafasi ya kwanza.

Wanawake
Tigo Kili Half Marathon 2020

1. Magdalena Shauri (Tanzania) 1:09:54
2. Susy Chebet (Kenya) 1:16:18
3. Valentine Jepkorir (Kenya)         1:16:51
4. Isgah Cheruto (Kenya) 1:17:22
5: Grace Kimanzi (Kenya)                         1:17:26

Post a Comment

0 Comments