Thursday, June 18, 2020

Black Lives Matter (BLM) yaikuna EPL, Arsenal ikitandikwa mabao 3-0 na Manchester City


Vuguvugu kupinga ukatili wa Mtu mweusi ulimwenguni kote (BLACK LIVES MATTER) limeendelea kushika kasi na kuungwa mkono na kila medani ambapo imeshuhudiwa katika Ligi Kuu ya England (EPL) wakiandika maneno katika jezi za wachezaji wao kupinga ukatili huo unaofanywa na polisi. Miongoni mwa mchezo ni ule wa Manchester City dhidi ya Arsenal uliochezwa katika dimba la Etihadambapo wenyeji waliibuka na ushindi wa mabao 3-0. Mabao hayo yalifungwa na Raheem Sterling (45'), Kevin de Bryune (70') na Phil Foden (90')

.



0 Comments:

Post a Comment