Kiungo wa Simba Clatous Chama akimiliki mpira mbele ya mlinzi wa Polisi Tanzania Iddy Mobby katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara Februari 4, 2020. |
Timu ya Polisi Tanzania imekubali matokeo ya Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-1 na Simba katika mchezo uliochezwa jijini Dar es Salaam Februari 4, 2020.
Katika ukurasa wa facebook kwa klabu hiyo, iliandikwa
"Tumepoteza mchezo dhidi ya Simba Sc. Ni matokeo mabaya kwetu lakini bado tunaendelea kupambana katika michezo mingine. Asante kwa mashabiki wetu kwa ushirikiano mliotupatia katika mchezo huu.
Winga wa Polisi Tanzania Sixtus Sabilo baada ya kufunga bao dhidi ya Simba. |
0 Comments:
Post a Comment