 |
Uwanja wa Ushirika, Moshi Februari 18, 2020 |
 |
Mashabiki na Wapenzi wa soka mkoa wa Kilimanjaro wanaoiunga mkono Polisi Tanzania wakiwa katika Uwanja wa Ushirika, Moshi |
 |
Shabiki Kindaki wa Yanga akiwa katika Uwanja wa Ushirika, Moshi |
 |
Maveterani wa soka mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika Uwanja wa Ushirika, Moshi kuiunga mkono Polisi Tanzania dhidi ya Yanga |
 |
Thabiti Kombo akisamiliana na Afisa wa Polisi Mpina katika Uwanja wa Ushirika, Moshi |
 |
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Said Hamduni akiwa katika Uwanja wa Ushirika, Moshi |
 |
Mhamasishaji wa timu ya Yanga Antonio Nugaz akiwa katika Uwanja wa Ushirika, Moshi |
 |
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi akiwa katika Uwanja wa Ushirika, Moshi |
 |
Mashabiki wa Yanga akiwa katika Uwanja wa Ushirika, Moshi |
 |
Waamuzi wa soka mkoani Kilimanjaro akiwa katika Uwanja wa Ushirika, Moshi. |
 |
Rashid Teveli, mdau wa soka mkoani Kilimanjaro akiwa katika Uwanja wa Ushirika, Moshi.
PICHA ZOTE NA JABIR JOHNSON |
0 Comments:
Post a Comment