Februari 3, 1924 alifariki dunia mwanasiasa, mwanasheria na mwanataaluma ambaye ni Rais wa 28 wa Marekani Woodrow Wilson.
Woodrow Wilison alikuwa Rais wa 28 wa Marekani kutoka mwaka 1913 hadi 1921 kwa tiketi ya chama cha Democratic.
Aliwahi kuhumu kama Rais wa Chuo Kikuu cha Princeton na gavana wa 34 wa Jimbo la New Jersey kabla ya ushindi wa mwakla 1912 kwenye uchaguzi wa taifa hilo.
Akiwa Rais wa taifa hilo Woodrow alipitisha sera mbalimbali hadi mwaka 1933 kulipoibuka kile kinachofahamika kama New Deal.
Woodrow aliiongoza Marekani katika Vita ya kwanza ya Dunia na mnamo mwaka 1917 alianzisha sera iliyofahamika kwa jina la Wilsonianism.
Woodrow Wilson ndiye aliyekuwa muongozaji mkuu katika kuundwa kwa League of Nationas kulikozaa Umoja wa Mataifa (UN).
Katika Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1912 ulikuwa wa 32 katika historia ya Marekani. Ulifanywa Jumanne tarehe 5 Novemba.
Upande wa "Chama cha Democratic ", Woodrow Wilson (pamoja na kaimu wake Thomas Marshall) aliwashinda mgombea wa "Chama cha Republican" Rais William Howard Taft (pamoja na kaimu wake Nicholas Butler) na mgombea wa "Chama cha Progressive", Rais wa zamani Theodore Roosevelt (pamoja na kaimu wake Hiram Johnson).
Wilson akapata kura 435, Roosevelt 88 na Taft nane tu.
Baada ya kumaliza vipindi vya urais wake hali yake kiafya haikuwa sawa kwani mkono wa kushoto na mguu wa kushoto vyote vilipoza na mara kadhaa alikuwa akiumwa maradhi ya mfumo wa chakula. Januari 1924 hali yake ya afya ilikuwa mbaya hadi mauti yalipomkuta.
Jina lake halisi ni Thomas Woodrow Wilson alizaliwa Desemba 28, 1856 huku Staunton, Virginia nchini Marekani.
Woodrow alikuwa mtoto wa tatu kati ya wanne wa Mzee Joseph Ruggles Wilson aliyefariki mwaka 1903 na mama yake Jessie Janet Woodrow aliyefariki mwaka 1888.
Pia Woodrow alikuwa mtoto wa kwanza wa kiume wa familia hiyo iliyokuwa ikiisha katika nyumba ambayo watumwa walikuwa wakiuzwa na kutumikishwa.

0 Comments:
Post a Comment