Family might
be defined as a group of people who are related to each other, but it’s more
than that. The family is the test of freedom; because the family is the only
thing that the free man makes for himself and by himself.
Kija Elias Kisena ni baba wa watoto wanne ambao ni Rhoda, Samwel, Judith na Leah. Siku zote amekuwa akiwapenda watoto wake.
Katika maisha ya familia haikosi kuwa na changamoto mbalimbali kwani hakuna aliyekamilika chini ya jua hata mmoja. Hata hivyo furaha katika familia ni muhimu kuidumisha kwa namna yoyote ile haijalishi changamoto gani unazipitia kama baba na mama wa familia.
Familia ya
Kisena ipo Moshi mkoani Kilimanjaro kwa muda mrefu sasa. Mwenyezi Mungu
aendelee kuipa nguvu familia hii.
0 Comments:
Post a Comment