Kairuki achukua fomu ya Ubunge Same Magharibi
July 14, 2020
0
Mhe; Angellah Jasmine
Kairuki, akichukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Same Magharibi kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)
anayemkabidhi fomu hiyo ni Katibu wa CCM Wilaya ya Same Victoria Mahembe.
Tags