Kwa kifupi Radiology inahusisha uchunguzi wa magonjwa kwenye
mwili wa binadamu kwa kutumia aidha
1. Mionzi:
Vifaa vinavyotumia mionzi ni kama xray,ct scan, fluoroscopy,mamography.
2. Mawimbi ya
sauti(ultrasound).
3. Nguvu ya
usumaku hapa kuna Magnetic resonance imaging(MRI).
0 Comments:
Post a Comment