Pierre Frank Laporte |
Akiwa na ujumbe wa Benki ya Dunia nchini Liberia Meneja Nkwima Nthara, Laporte ambaye amechukua nafasi ya Henry Kerali aliyemaliza muda wake amemhakikisha Rais Weah kuwa atamuunga mkono katika maendeleo ambayo yataivusha Liberia na kuwa bora zaidi.
Laporte amesema kuwa Benki ya Dunia kwa sasa imejikita katika kuendeleza miradi mikubwa kupitia midogo katika sekta mbalimbali ikiwamo katika sekta ya Kilimo.
Laporte amemhakikishia Rais Weah kuwa kupitia miradi mikubwa ya Kilimo nchini humo ataona matokeo mazuri.
0 Comments:
Post a Comment