|
Joseph Mapunda |
Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania (TCRA) imewataka wamiliki na watangazaji wa vituo vya redio na
telvesheni kutoa muda sawa kwa vyama vya siasa vitakavyoshiriki uchaguzi wa
serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka 2020.
Hayo yalijiri katika semina ya
siku moja iliyofanyika Julai 16, 2019 kwa wadau wa vyombo vya utangazaji mkoa
wa Kilimanjaro.
Mjumbe wa Kamati ya Maudhui ya TCRA Joseph Mapunda alisema uchaguzi
wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2020 unatakiwa kuripotiwa katika uzania
sawia.
"Vipindi kama hivi vinakuwa vigumu kutokana na msukumo wa nje, hivyo vyombo vya utangazaji vinatakiwa kutangaza kwa kufuata sheria. Ni vema kuacha kutangaza mambo ambayo yako nje ya utaratibu wa kazi," alisema Mapunda.
|
Rolf Kibaja |
|
Jacob Tesha |
|
Abdul Ngarawa |
|
Derek Murusuri |
|
Baadhi ya Wadau wa Vyombo vya Utangazaji mkoa wa Kilimanjaro |
0 Comments:
Post a Comment