WANANCHI wakibeba Jeneza lililokuwa na Mwili wa Marehemu
Marin Hassan Marin, wakitoka nyumbani
kwa marehemu na kuelekea katika Msikiti wa Kibweni KMKM kwa ajili ya kuombea
dua kwa ajili ya maziko yaliofanyika katika makaburi ya Mwanakwerekwe Jijini
Zanzibar.(Picha na Othman Maulid )
|
0 Comments