“Katika
kampeni yetu hiyo ya kuzuia mimba za utotoni tumegundua kuwa, baadhi ya watoto
tayari wameshaathiriwa na tatizo hilo na kuachishwa masomo kwani serikali
hairuhusu mwanafunzi aliyezaa kuendelea na masomo, hivyo wito wangu kwa
serikali ni kuandaa shule maalumu za kuwasaidia waathirika wa aina hiyo kwani
wengi wao hupata Mimba katika mazingira wasiyotarajia kutokana na kutopevuka
vyema akili zao.” – Dotto Olafsen
0 Comments:
Post a Comment