Juventus imetwaa ubingwa ikiwa imesalia michezo mitano. Nyota
Cristiano Ronaldo (CR7) ni miongoni mwa nyota waliosaidia miamba hiyo ya Turin
kutwaa tena kwa mara ya nane mfululizo. Juventus imetwaa ikiwa na alama 87.
Juan Cuadrado kiungo wa Biaconnerri alikamata vichwa vya habari pale alipombatiza CR7 kwa kumpulizia pafyumu yenye povu katika kichwa chake. Kocha Massimiliano Allegri alipuliziwa povu hilo baada ya Juventus kutangazwa mabingwa wa Serie A msimu wa 2018/19.
Juventus imetwaa taji la 35 la serie A na
kuwa timu iliyochukua mataji mengi tangu kuanzishwa kwa Ligi Kuu nchini Italia
mwaka 1929. AC Milan na Inter Milan zimechukua kila moja mara 18.
Juan Cuadrado kiungo wa Biaconnerri alikamata vichwa vya habari pale alipombatiza CR7 kwa kumpulizia pafyumu yenye povu katika kichwa chake. Kocha Massimiliano Allegri alipuliziwa povu hilo baada ya Juventus kutangazwa mabingwa wa Serie A msimu wa 2018/19.
Juan Cudrado na Cristiano Ronaldo |
Allegri akimkumbatia Cristiano Ronaldo na Cuadrado akitabasamu |
Kocha Massimiliano Allegri wa Juventus |
Cristiano Ronaldo akiwa na wachezaji wenzake wa Juventus |
0 Comments:
Post a Comment