Wanafunzi wa shule ya msingi Ashengai wilayani Siha mkoani Kilimanjaro wakiwa darasani ikiwa ni sehemu ya haki yao ya msingi kupata elimu. Elimu nchini Tanzania imekuwa ikikabiliwa na changamoto nyingi ikiwa ukosefu wa madarasa hivyo kuwa na mrundikano wa wanafunzi ndani ya chumba kimoja. Hata hivyo serikali kwa kushirikiana na wananchi wake inaendelea kupunguza adha hiyo kwa kuongeza vyumba vya madarasa.
Thursday, April 4, 2019
Wanafunzi wa Shule Msingi Ashengai, Siha
Wanafunzi wa shule ya msingi Ashengai wilayani Siha mkoani Kilimanjaro wakiwa darasani ikiwa ni sehemu ya haki yao ya msingi kupata elimu. Elimu nchini Tanzania imekuwa ikikabiliwa na changamoto nyingi ikiwa ukosefu wa madarasa hivyo kuwa na mrundikano wa wanafunzi ndani ya chumba kimoja. Hata hivyo serikali kwa kushirikiana na wananchi wake inaendelea kupunguza adha hiyo kwa kuongeza vyumba vya madarasa.
0 Comments:
Post a Comment