Kija Elias Kisena |
Kija Elias Kisena ni mwandishi wa habari nchini Tanzania.
Alizaliwa Mei 18, 1975 katika kijiji cha Nyanguge wilayani Magu mkoani Mwanza.
Kwa sasa ameweka makazi yake mkoani Kilimanjaro huku akiendelea kufanya kazi
zake za uandishi wa habari. Amewahi kuwa ripoti wa Shirika la Utangazaji
Tanzania (TBC) katika kipindi cha miaka 2010-2012. Katika medani ya uandishi
alianza mwaka 2006 hadi sasa. Amekuwa mahiri zaidi katika uandishi wa habari za
mazingira.
Kija Elias (wa kwanza kushoto) akiwa na Katibu wa Itikadi na
Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Siha na mwandishi wa habari
mkoani Kilimanjaro Rodrick Mushi (wa kwanza kulia)
|
Kija Elias Kisena, Afisa Elimu Takwimu wilaya ya Siha; Herman William Msasa na Rodrick Mushi katika kijiji cha Ashengai wilayani Siha. |
0 Comments:
Post a Comment