Friday, May 31, 2019

Siku ya Kupinga Matumizi ya Tumbaku duniani 2019

Siku ya Kupinga Matumizi ya Tumbaku Duniani 2019 Nchi ambazo huvuta sigara kwa kiasi kidogo ni Ghana, Ethiopia, Nigeria, Eritrea na Panama. Takribani asilimia 14 ya waafrika huvuta tumbaku kwa mujibu wa WHO, ndogo kuliko wastani wa dunia wa takriban asilimia 22. China ni mzalishaji mkubwa na mtumiaji wa tumbaku duniani, kwa mujibu wa WHO. Kuna zaidi ya wavutaji milioni 300 nchini China, karibu theluthi moja ya idadi ya watu duniani.



0 Comments:

Post a Comment