Sunday, November 18, 2018

Pendo Michael ni nani?

Pendo Michael a.k.a Wendo akiwa katika ufukwe wa bahari ya Hindi, mjini Bagamoyo Juni 8, 2017. (Picha na Jabir Johnson)

Pendo Michael a.k.a Wendo akifurahia mojawapo ya ushanga uliotengenezwa kwa kutumia masalia ya viumbe wa baharini katika ufukwe wa bahari ya Hindi, mjini Bagamoyo Juni 8, 2017.
Pendo Michael a.k.a Wendo akiwa katika ufukwe wa bahari ya Hindi, mjini Bagamoyo Juni 8, 2017.
Pendo Michael a.k.a Wendo Juni 8, 2017 akiwa mtangazaji wa Kiss FM Radio studio za Dar es Salaam

0 Comments:

Post a Comment