Tabasamu
lenye Amani ndiyo kila kitu katika maisha ya mwanadamu, hapo ndipo nukuu hii “Share
your smile with the world”. Mwandishi wa vitabu nchini Nepal Santosh Kalwar
anasema SAYANSI imekuwa ikifundisha kuhusu fikra lakini UPENDO hufundisha
kutabasamu.
Picha zote zilipigwa na Jabir Johnson Novemba 1, 2018 katika viwanja vya Morogoro Hotel mjini Morogoro mhusika katika picha hizo ni Christina Ntwale. |
0 Comments:
Post a Comment