| Mwenyekiti wa Halmashauri ya Moshi DC Moris Makoi akiwa na Mkuu wa Shule ya Msingi Uchau Agnes Mbwambo |
| Mwonekano wa mojawapo ya majengo ya Shule ya Msingi Uchau. Shule hiyo ilijengwa mnamo mwaka 1948 na wamisionari kutoka Ujerumani. |
| Mwonekano wa mojawapo ya majengo ya Shule ya Msingi Uchau. Shule hiyo ilijengwa mnamo mwaka 1948 na wamisionari kutoka Ujerumani. |
| Mwakilishi wa Ako Community Support ya Ujerumani Dieter Jaenicke |
| Mkuu wa Shule ya Msingi Sungu Redempta Assey akiwa darasa na wanafunzi wake wa Darasa la Saba |

0 Comments