Shirika la AJISO limetekeleza mradi wa Uraia Wetu unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU) kupitia Foundation for Civil Society (FCS) mnamo Julai 17, 2024 baada ya kuendesha Mdahalo uliojumuisha wakurugenzi wa mashirika ya Kanda ya Kaskazini na Viongozi wa serikali kutoka Mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara uliokuwa na malengo ya kuimarisha ushirikiano katika utendaji kazi ili kuleta maendeleo na kuimarisha utawala bora.
Munere veritus fierent cu sed, congue altera mea te, ex clita eripuit evertitur duo. Legendos tractatos honestatis ad mel. Legendos tractatos honestatis ad mel.
, click here →
0 Comments