Friday, July 12, 2024

Nuru Taiko-Maningo, Papa Letaolo, wasimamizi Irmegolik, Mabogini

 

Labda hili ulilijua, bila shaka ni moja ya mila inayofahamika zaidi ya jamii ya Wamaasai.

Ingawa inaweza kuonekana kuwa ya ajabu kwa watu wa nje, unywaji wa damu mbichi ya ng'ombe unachukuliwa kuwa utamaduni wa kuheshimika miongoni mwa Wamaasai.

Utamaduni huu unaheshimika sana hivi kwamba mara nyingi hutengewa matukio maalum kama vile wakati vijana wa kiume wanapokeketwa na kuingizwa katika utu uzima au wakati mwanamke anapojifungua.

Pia, wazee huwa wanakunywa damu mara kwa mara ili kuondokana na 'hangover'.

































0 Comments:

Post a Comment