Aidha matembezi hayo yanampongeza Rais kwa kuwezesha upatikanaji wa mbolea ya ruzuku kwakua wananchi wa wilaya hiyo wanategemea kilimo katika kujikwamua kiuchumi.
Matembezi hayo yamenza katika ofisi ya CCM mkoa wa Ruvuma na kukabidhi bendera ya chama na taifa kwa mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Namtumbo Komredi Zuberi Lihuwi kama ishara ya kufungua matembezi hayo ya siku tano yatakayofikia kilele chake terehe 20/10/2023 wilayani Namtumbo.
0 Comments:
Post a Comment