Tuesday, October 17, 2023

Nderiananga atua Gonja-Maore kutelekeza Ilani ya CCM

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Ummy Nderiananga amewataka wakazi wa Gonja-Maore wilayani Same mkoani Kilimanjaro kuendelea kukiamini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwani ndicho pekee kinachoweza kutekeleza kinapowaahidi watanzania.


Nderiananga aliyasema hayo wakati akiwahutubia wakazi wa Gonja-Maore katika ziara ya Kamati ya Siasa mkoa wa Kilimanjaro ambayo Oktoba 17, 2023 ilikuwa katika Jimbo la Same Mashariki kwa Mbunge Anne Kilango Malecela.


"CCM imekamilika, KAZI iendelee."













Related Posts:

0 Comments:

Post a Comment