Umati mkubwa wa wakazi wa Gonja-Maore wilayani Same mkoani Kilimanjaro wamejitokeza kwa wingi kusikiliza namna serikali ya awamu ya sita iliyo mkononi mwa Rais Samia Suluhu Hassan inavyotekeleza kwa Kasi miradi ya maendeleo ikiwamo barabara, Maji, elimu na Afya.
Haijapata kutokea Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Kilimanjaro kushuhudia umati wa watu waliojitokeza kusikiliza utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025
Viongozi mbalimbali wa kidini na kisiasa walikuwamo katika mkutano huo ambao vijana wa kike na kiume, wanaume kwa wanawake walijitokeza kwa wingi .
Haitasahaulika, huku ikishiria Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki Anne Kilango Malecela anakubalika na wananchi wake.
0 Comments:
Post a Comment