Katibu wa Siasa na Uenezi mkoa wa Kilimanjaro Abraham Urio amewataka viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ngazi ya Tawi, Kijiji na Kata kuitisha mikutano ya hadhara ili kuwaeleza wananchi namna Chama kinavyoleta maendeleo.
Akizungumza na viongozi wa CCM Kata ya Kihurio uliofanyika katika Kijiji cha Kihurio wilayani Same, Urio amesema bila mikutano ya hadhara kuwaeleza wananchi namna serikali ya Chama cha Mapinduzi ilivyofanya katika maeneo yao.
0 Comments:
Post a Comment