Bilionea mwenye asili ya Kimarekani raia wa Iran Jahm Najafi ameripotiwa kuitaka klabu ya Tottenham kwa kitita cha pauni bil. 3.1 sawa na Trilioni 8.8 za Tanzania
Gazeti la
Financial Times limeripoti kuwa Najafi ambaye ni Mwenyekiti wa MSP Sports
Capital yupo mbioni kuweka kitita hicho kikubwa cha fedha.
Aidha inaelezwa kuwa wapo mbioni kumwona mmiliki wa klabu
hiyo JoeLewis na mwenyekiti wake Daniel Levy katikamajuma machahce yajayo.
Najafi na MSP wana asilimia 70 ya kuweka kitita hichocha
fedha huku wengine wanaweza kuchangia asilimia
30 zilizobaki ambazo zinaweza kutolewa na mabilionea wengine kutoka ghuba na
Abu Dhabi.
0 Comments:
Post a Comment