Hatukatai
kuwa mjasiriamali lakini katika kila jambo lina kiasi. Hata kama maisha
yanakwenda kombo ni vema kutumia utashi ili kuepukana na usumbufu usiotarajiwa.
Pichani mjasiriamali akiiuza maji na juisi zake katika barabara ya mwendo wa
haraka (UDART) maeneo ya mataa ya Magomeni jijini Dar es Salaam kama
alivyokutwa.
0 Comments:
Post a Comment