Walimu hao walishitakiwa kwa kumuua kwa kukusudia Sperius Eradius
aliyekuwa mwanafunzi wa darasa la tano katika shule hiyo mwishoni mwa mwaka
2018.
Upande wa Jamhuri uliwasilisha mashahidi tisa katika kesi hiyo iliyosikilizwa
kwa mwezi mmoja na Jaji Lameck Mlacha, ilianza Februari 6, 2019.
Inadaiwa walimu hao walitenda kosa la kumuadhibu kwa kipigo mwanafunzi Sperius
Eradius kwa madai kuwa aliiba mkoba wa mwalimu ukiwa na fedha.
a
0 Comments:
Post a Comment