Kijana aliyefahamika kwa jina la Shalom Tarimo (21) amefariki Dunia Leo adhuhuri wakati akifanya Usafi katika kituo cha Mafuta cha Uhuru Peak mjini Moshi mkoani KilimanjaroTarimo ambaye alikuwa kijana wa kazi amefariki Dunia kwa kutumbukia kwenye kisima cha mafuta wakati akijaribu kutoka simu iliyomponyoka mfukoni.
Jeshi la Zimamoto na uokoaji lilifika na kuchukua takribani saa moja kutoa mwili wa marehemu katika kisima hicho kilichopo katika kituo cha Mafuta cha Total Energies cha Uhuru Peak.
Munere veritus fierent cu sed, congue altera mea te, ex clita eripuit evertitur duo. Legendos tractatos honestatis ad mel. Legendos tractatos honestatis ad mel.
, click here →
0 Comments