Ukweli na Kuheshimiana ni kiini ujenzi wa jamii zetu

Ulimwenguni kwa sasa kumejaa habari potofu na upotoshaji, ni muhimu kuhakikisha kwamba ukweli na kuheshimiana vinakuwa kiini kwa ujenzi wa jamii zetu.

Friday, October 27, 2023

KAHAWA FESTIVAL 2023: Vijana watakiwa kurudisha mnyororo wa thamani wa zao la Kahawa

Vijana wanaoishi katika mikoa mipya ya kahawa nchini wametakiwa kurudi shambani kwa ajili ya uzalishaji wa zao la kahawa ili kuongeza mnyororo wa thamani na maendeleo yao kwa ujumla. Akizungumza na JAIZMELA katika ufunguzi wa Maonyesho ya Kahawa (Kahawa Festival 2023) yanayoendelea...

Sunday, October 22, 2023

Brief report on Hope for Future Day Care Center Project to Dr. Steve, Diana and Nelly on the 27th October 2023

BACKGROUND Hope for Future Day Care Center Project was established in 2018 by a local organization, the New Hope for the Poor with financial and guidance from Dr. Steve, Dianna and Nelly. The center is located at Ghona village popularly known as Chekereni, Kahe East...

Wednesday, October 18, 2023

Jela miaka 180 Ubakaji na Ulawiti

Mahakama ya wilaya ya Njombe imemhukumu Joseph msemwa kijana wa miaka 27 mbena na mkazi wa Njombe, kutumikia jela kifungo cha miaka 180 Jela , kwa makosa sita ya ulawiti na ubakaji. ambapo kila kosa limekuwa na hukumu ya miaka 30  Katika mahakama ya wilaya ya njombe,...

Tuesday, October 17, 2023

PICHA: Mkutano wa hadhara Gonja-Maore haijawahi kutokea

Umati mkubwa wa wakazi wa Gonja-Maore wilayani Same mkoani Kilimanjaro wamejitokeza kwa wingi kusikiliza namna serikali ya awamu ya sita iliyo mkononi mwa Rais Samia Suluhu Hassan inavyotekeleza kwa Kasi miradi ya maendeleo ikiwamo barabara, Maji, elimu na Afya.Haijapata kutokea...

Nderiananga atua Gonja-Maore kutelekeza Ilani ya CCM

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Ummy Nderiananga amewataka wakazi wa Gonja-Maore wilayani Same mkoani Kilimanjaro kuendelea kukiamini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwani ndicho pekee kinachoweza kutekeleza kinapowaahidi watanzania.Nderiananga aliyasema hayo...

Katibu wa Siasa na Uenezi mkoa wa Kilimanjaro ataka viongozi wa CCM kuitisha mikutano ya hadhara

 Katibu wa Siasa na Uenezi mkoa wa Kilimanjaro Abraham Urio amewataka viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ngazi ya Tawi, Kijiji na Kata kuitisha mikutano ya hadhara ili kuwaeleza wananchi namna Chama kinavyoleta maendeleo.Akizungumza na viongozi wa CCM Kata ya Kihurio...

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Sera, Bunge na Uratibu Nderiananga atua Same

 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga akiteta jambo na Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Same mkoa wa Kilimanjaro Miryam Mje...

MNEC Selemani Mfinanga na Miryam Mjema

 Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Same mkoa wa Kilimanjaro Miryam Mjema akiwa katika picha ya pamoja na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) Seleman Mfinanga nje ya Ofisi za CCM Wilayani Same, Oktoba 17, 20...