Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana amekuwa mgeni rasmi katika Mkutano Maalum wa Chama cha Mapinduzi jimbo la Hai-Kilimanjaro ulioandaliwa na Mbunge Saasisha Mafuwe ukiwa na madhumuni ya kutoa taarifa ya Utekelezaji WA Ilani ya CCM kutoka Novemba 2020 hadi Oktoba 2022 kwa jimbo la Hai.
Mafuwe amesema Halmashauri ya Hai imepokea kiasi cha
bilioni 3.7 kutoka serikali kuu kwa ajili ya miradi ya maendeleo kwa kipindi
hicho.
0 Comments:
Post a Comment