Rais wa China Xi Jinping amekuta na Katibu wa Ulinzi wa Marekani James Mattis jijini Beijing.
Xi alisema ulimwengu unakwenda kasi katika maendeleo na kwamba mabadiliko ya kiuchumi yamekuwa chachu ya nchi kuwa na mahusiano ya karibu.
Hata hivyo Xi alisisitiza kuwa China itasalia katika njia yake ya Ujamaa wa Kisasa ambao unaabudu amani na hautaruhusu ukoloni na mabadiliko yake ya kujitanua kwa fujo.
Aidha alisema mahusiano ya nchi yake na Marekani ni miongoni mwa mahusiano muhimu ulimwenguni.
Rais wa China Xi Jinping (kulia) akimkaribisha Katibu wa Ulinzi wa Marekani James Mattis Juni 27, 2018 jijini Beijing. |
Hata hivyo Xi alisisitiza kuwa China itasalia katika njia yake ya Ujamaa wa Kisasa ambao unaabudu amani na hautaruhusu ukoloni na mabadiliko yake ya kujitanua kwa fujo.
Aidha alisema mahusiano ya nchi yake na Marekani ni miongoni mwa mahusiano muhimu ulimwenguni.
0 Comments:
Post a Comment