Unapokuwa unafanya kazi mahali popote pale duniani, ni
vema kuwa na kile kinachofahamika ‘Nguvu ya Pamoja’. Nguvu ya Pamoja haiwezi
kuja pasipokuwa na marafiki na wafanyakazi wazuri wanaojitambua. Ndivyo ilivyo
kwa wafanyakazi hawa wa Mpakasi ambao wanaamini katika nguvu hiyo au unaweza
kusema ni waamini wa ‘Team Work’.
Kutoka kushoto Mwasiti Mussa, Kassim Mpeta, Bernard Kalonga,
Flora Raphael na Gerald Nyang’ali wakitoka kazini maeneo ya Oysterbay jijini
Dar es Salaam. (Picha zote na Jabir Johnson)
|
Flora Raphael na Bernard Kalonga maeneo ya Oysterbay jijini
Dar es Salaam.
|
0 Comments:
Post a Comment