Siku kama ya leo tarehe 9 mwezi Desemba mwaka 1961, iliyokuwa Tanganyika au Tanzania Bara ilipata Uhuru wake kupitia mchakato uliosimamiwa na Umoja wa Mataifa. Siku 5 baadaye, nchi hiyo huru ilijiunga na Umoja wa Mataifa na kuwa mwanachama hadi leo na hii leo inaposherehekea miaka 63 ya uhuru wake, pia inatambua faida inazozipata kwa kuwa mwanachama wa UN.
Monday, December 9, 2024
Home »
AFRIKA
,
KIMATAIFA
,
KITAIFA
,
MAKALA
,
MAKALA NA SIMULIZI
,
MAKTABA
» Tanganyika (Tanzania Bara) yatimiza miaka 63 ya Uhuru
0 Comments:
Post a Comment