Ukweli na Kuheshimiana ni kiini ujenzi wa jamii zetu

Ulimwenguni kwa sasa kumejaa habari potofu na upotoshaji, ni muhimu kuhakikisha kwamba ukweli na kuheshimiana vinakuwa kiini kwa ujenzi wa jamii zetu.

Saturday, December 28, 2024

Mambo 7 muhimu Ushiriki wa Viongozi wa Siasa; Mwanga Marathon & Festival 2024

 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kilimanjaro Seleman Mfinanga mnamo Desemba 27, 2024 baada ya kumaliza kukimbia Kilometa 10 katika Mwanga Marathon & Festival 2024. Tukio hilo la riadha ni la kwanza kubwa kufanyika katika wilaya ya Mwanga...

Tuesday, December 24, 2024

AMEC Kilimanjaro yawatoa hofu waumini kuhusu uhuru wa kuabudu

Mkuu wa Jimbo la Kilimanjaro wa Kanisa la Africa Mission Evangelism (AMEC) Mchungaji Wilson Kawiche amewataka waumini wanaojiunga na kanisa hilo kutambua kuwa Katiba ya Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania inawalinda kwa uamuzi wao wa kufuata Imani ya dini wanayoitaka kuitumikia. Akizungumza...

AMEC Tanzania yamwingiza kazini Mchungaji Paul Assey

Kanisa la Africa Mission Evangelism (AMEC) limemsimika rasmi Paul Assey kuwa mchungaji wa Usharika wa Kileo, jimbo la Kilimanjaro katika hafla iliyofanyika katika usharika wa Kileo wilayani Mwanga. Hafla hiyo ya kumsimika Mchungaji Assey ilifanywa na Askofu Mkuu wa AMEC Tanzania...

Sunday, December 15, 2024

Mangi Gilbert Gilead Shangali Asimikwa Isaleni, Wari-Machame; Kilimanjaro

Mangi Gilbert Gileadi Shangali akiinua ngao kwa mkono wa kulia ikimaanisha ulinzi wa jamii ya Kimachame, mkono wa kushoto akiwa na mkuki baada ya kusimikwa na Chifu Frank Marealle (wa kwanza kushoto) lililofanyika Isaleni, Wari-Machame wilayani Hai mkoani Kilimanjaro mnamo Desemba...

Wahitimu 3,246 watunukiwa shahada mbalimbali Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi

Wakati, Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU), kikifikisha umri wa miaka 10 tangu kupewa ithibati ya kuwa chuo kikuu kamili, Spika mstaafu wa Bunge, Anne Makinda, amewatunuku kwa mara ya kwanza wahitimu 3,246 shahada mbalimbali. Kati ya wahitimu hao wa fani mbalimbali, wamo...

Monday, December 9, 2024

Usuli kuhusu Wamachame

Wamachame ni moja ya makabila ya asili ya Tanzania, hasa linapopatikana katika Mkoa wa Kilimanjaro. Wamachame ni kundi la watu wanaozungumza lugha ya Kichaga cha Kimachame, ambayo ni sehemu ya familia ya lugha za Kibantu. Hawa ni miongoni mwa jamii za kiasili za Kilimanjaro,...

Mangi Gilbert Gilead Shangali ni nani?

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

Mangi wa 52 wa Machame kusimikwa Desemba 14

 Mangi Gilbert Shangali anayetarajiwa kusimikwa Desemba 14, 2024 katika kijiji cha Wari, wilayni Hai mkoani Kilimanjaro. (Picha Na. MAKTABA) Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Tanganyika (Tanzania Bara) yatimiza miaka 63 ya Uhuru

https://g.co/doodle/tjvh9pwSiku kama ya leo tarehe 9 mwezi Desemba mwaka 1961, iliyokuwa Tanganyika au Tanzania Bara ilipata Uhuru wake kupitia mchakato uliosimamiwa na Umoja wa Mataifa. Siku 5 baadaye, nchi hiyo huru ilijiunga na Umoja wa Mataifa na kuwa mwanachama hadi leo...

Sunday, December 1, 2024

Kuonywa kwa Msanii Mashalove na Waziri Gwajima kunatoa picha gani kuhusu Maadili ya Mtanzania?

Mnamo mwaka 2022,aliyewahi kushiriki mashindano ya Miss Tanzania 2000, Rashida Wanjara na wenzake 13 waliiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kuwasamehe huku wakiahidi kubadili tabia zao ndani ya miaka miwili.Washtakiwa wengine  walikuwa ni Masha Ngubi...