Home »
» Ujerumani kuwa mwenyeji wa Euro 2024
Rais wa Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA). Aleksander Ceferin ametangaza fainali za mwaka 2024 za mataifa ya Ulaya zitachezwa nchini Ujerumani. Ceferin alitangaza uamuzi huo jijini Nyon nchini Uswisi mbele ya mataifa mawili yaliyokuwa yakiwania nafasi hiyo.
Katika kura iliyopigwa na wajumbe 17 wa Kamati Kuu ya UEFA ilithibitisha ushindani miongoni mwa mataifa mawili yaliyokuwa yakiwania nafasi hiyo Ujerumani na Uturuki. Ujerumani ilipata kura 12 huku Uturuki ikiambulia kura tatu na moja ikiharibika. Ceferin alizipongeza nchi.
0 Comments:
Post a Comment