Miongoni nyaraka za Gutmann za mwanzoni mwa msimu wa machipuko mnamo mwaka 1928 anaeleza kuhusu wavamizi dhalimu na wenye tamaa kutoka barani Ulaya walioingia Afrika, hususani katika robo ya mwisho ya karne ya 19 kuwa hawakujali sana Utamaduni wa Watu wa Afrika na kwamba kwao watu weusi walikuwa washenzi ambao ingeliwafaa kufuata taratibu na njia za maisha za mabawana wao wapya kwa haki na desturi.
0 Comments:
Post a Comment