![]() |
| Lucas Moura akipongezwa na wenzake baada ya kuisawazishia Tottenham |
![]() |
| Lucas Moura hawakuweza kuuzuia mkwaju ulipa Spurs kusonga mbele |
![]() |
| Dakika ya 85 ya mchezo ubao wa matokeo Camp Nou ulibadilika baada ya Mbrazil Lucas Moura kuisawazishia Spurs |
![]() |
| Heung Min Son litoa mchango wa bao hilo akimpita Thomas Vermalen katika mchezo huo. |
![]() |
| Qusmane Dembele aliwashika kweli kweli Spurs ambapo dakika ya saba ya mchezo alipachika wavuni bao la kuongoza |
| Lionel Messi aliingia akitokea mechi akichukua nafasi ya Munir El Hadadi |











0 Comments:
Post a Comment