Croatia imetinga robo fainali ya Michuano ya Kombe la Dunia dhidi ya Denmark katika mchezo uliochezwa Nizhny Novgorod nchini Russia kwa changamoto ya mikwaju ya penati 3-2.
Danijel Subasic alikuwa shujaa baada ya kuokoa mkwaju wa penalti uliopigwa na mchezaji wa Denmark Christian Eriksen.
Hata hivyo mlinda mlango wa Denmark Kasper Schmeichel atasalia katika mchezo huo kuwa mchezaji bora akiokoa mikwaju mitatu ya penati.
Bao la dakika ya kwanza la Mathias Jorgensen liliwapa uongozi Denmark na dakika tatu baadaye Mario Mandzukic aliisawazishia Croatia na matokeo hayo kusalia hadi dakika 120 za mchezo huo ulioamuliwa kwa mikwaju ya penati.
Timu ya Taifa ya Croatia wakishangilia baada ya kuizabua Denmark kwa mikwaju ya penati 3-2, katika dimba la Nizhny Novgorod, Russia |
Hata hivyo mlinda mlango wa Denmark Kasper Schmeichel atasalia katika mchezo huo kuwa mchezaji bora akiokoa mikwaju mitatu ya penati.
Bao la dakika ya kwanza la Mathias Jorgensen liliwapa uongozi Denmark na dakika tatu baadaye Mario Mandzukic aliisawazishia Croatia na matokeo hayo kusalia hadi dakika 120 za mchezo huo ulioamuliwa kwa mikwaju ya penati.
Matthias Jorgensen akishangilia bao la kwanza dhidi Croatia. |
Mchezaji wa zamani wa Croatia Davor Suker akishangilia ushindi wa taifa lake dhidi ya Denmark. |
Christian Eriksen akipambana vikali na Luka Modric |
0 Comments:
Post a Comment