
Friday, April 30, 2021
Anusurika kichapo kwa kujifanya mjamzito akiiba sokoni Memorial, Moshi

KUNA methali moja ya Kiswahili isemayo, “Hakuna anayemshinda mwanaume kama mwanamke,” hii imedhihirika katika soko la Memorial mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro hivi karibuni kwa mwanamke ambaye alifahamika kwa jina moja la Elizabeth kunusurika kichapo kutoka kwa wafanyabiashara...