Monday, September 18, 2017
'Team Work' ni kila kitu katika mafanikio
Unapokuwa unafanya kazi mahali popote pale duniani, ni
vema kuwa na kile kinachofahamika ‘Nguvu ya Pamoja’. Nguvu ya Pamoja haiwezi
kuja pasipokuwa na marafiki na wafanyakazi wazuri wanaojitambua. Ndivyo ilivyo
kwa wafanyakazi hawa wa Mpakasi ambao wanaamini katika nguvu hiyo...